SHULE YA UPILI YA KAYA TIWI YAFUNGWA.
SHULE YA UPILI YA KAYA TIWI YAFUNGWA.
Shule ya upili ya Kaya Tiwi katika kaunti ya Kwale imefungwa kwa muda, baada ya wanafunzi kuzua rabsha katika shule hiyo mapema leo asubuhi, wakidaiwa kuzua vurugu hizo wakipinga uhamisho wa mwalimu mkuu wa shule hiyo Chigamba Chilembi.
Comments
Post a Comment